Tamisemi yaomba kuidhinishiwa Sh10 trilioni mwaka wa fedha 2024-25

Bajeti yaongezeka kwa Sh981 bilioni. Fedha ya miradi ya maendeleo yapungua kwa zaidi ya Sh70 bilioni. Awaagiza wakuu wa mikoa kutekeleza vipaumbele saba ikiwemo ukusanyaji wa mapato.

Yafahamu malengo matatu ya ziara ya Rais Samia Uturuki

Ni pamoja na kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na kisiasa. Lengo la pili ni kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi. Rais Samia kukutana na wafanyabiashara 15 wakubwa kutoka Uturuki.

Viwango elekezi vya kubadilisha Fedha za kigeni leo Aprili 16, 2024

Tumia viwango hivi vya fedha za kigeni vinavyotumika leo Aprili 16, 2024 kubadili dhidi ya shilingi ya Tanzania

33 wafariki kwa maafa ya mafuriko Rufiji, Morogoro

Ni kutonana na mvua za El Nino zinazoendelea kunyesha. Wakazi 1,114 waokolewa Rufiji. Nyumba 1,035 zabomolewa na 6,874 zazingirwa na maji.

A sustainable future: Realizing Tanzania mining potential

Tanzania's recent strides in the mining sector, under the visionary leadership of President Dr. Samia Suluhu Hassan, have set a new standard for the African continent and beyond.

Afya & Maisha

Chati & Data

Maoni & Uchambuzi

NuktaFakti

  • Si kweli: Watu saba wapofuka macho kisa ‘Red Eyes’

    Serikali yasema vyombo vya habari vimepotosha taarifa yake. Yasema matumizi ya tiba isiyo sahihi ya ugonjwa huo ndio yanaweza kusababisha upofu. Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.

Safari